Sabah ni jimbo mojawapo kati ya 13 yanayounda shirikisho la Malaysia; liko kaskazini mwa kisiwa cha Borneo pamoja na jimbo la Sarawak, wakati majimbo mengine yote yako Asia bara.

Sehemu ya Jimbo la Sabah

Mji mkuu ni Kota Kinabalu.

Hakuna kabila kubwa lenye watu zaidi ya asilimia 50 katika eneo lote.

Upande wa dini, serikali imechangia sana uenezi wa Uislamu hata ukatangazwa dini rasmi.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu: