Sabini na moja
Sabini na moja ni namba inayoandikwa 71 kwa tarakimu za kawaida na LXXI kwa zile za Kirumi.
Ni namba asilia inayofuata 70 na kutangulia 72.
71 ni namba tasa.
Matumizi
haririTanbihi
haririMakala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sabini na moja kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |