Sad Journey
Sad Journey ni riwaya iliyoandikwa na mwandishi Amini Cishugi.
Mwandishi | Amini Cishugi |
---|---|
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
Lugha | Kiingereza |
Aina | Bunilizi, Fantasia |
Mchapishaji | Wattpad |
Kitabu hiki kilichapishwa kwa Kiingereza mara ya kwanza kwenye Wattpad mnamo Mei 2017.[1]
Tanbihi
haririMakala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sad Journey kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |