Safia Elmi Djibril

Safia Elmi Djibril (amezaliwa 1963) ni mwanasiasa wa Jibuti na mwanaharakati wa haki za wanawake. Safia ni mjumbe wa Bunge la kitaifa kutoka chama cha People's Rally for Progress, ambacho ni sehemu ya chama tawala cha  Union for the Presidential Majority.

Kazi ya kisiasa

hariri

Safia Elmi Djibril kwanza aliingia katika siasa kupitia kazi yake kwenye mipango ya afya ya Nchini Djibouti. Yeye ni mpinzani wa muda mrefu wa ukeketaji wa wanawake na mila zingine ambazo ni hatari kwa wanawake na watoto.[1][2][3][4]

Marejeo

hariri
  1. "Vice Presidents – Inter-African Committee on Traditional Practices (IAC)" (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-24. Iliwekwa mnamo 2021-06-20.
  2. "Human Village - MGF : plaidoiries pour la fin d'un fléau psycho-socio-culturel". human-village.org. Iliwekwa mnamo 2021-06-20. {{cite web}}: no-break space character in |title= at position 20 (help)
  3. http://www.radioradicale.it/scheda/229756/conferenza-sub-regionale-per-leliminazione-delle-mutilazioni-genitali-femminili
  4. "Sub-Regional Conference on Female Genital Mutilation, "Towards a political and religious consensus against FGM" - Media Coverage | No Peace Without Justice". www.npwj.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-24. Iliwekwa mnamo 2021-06-20. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)