Safia Sheikh Adan

Mwanasiasa wa Kenya

Safia Sheikh Adan ni mwanasiasa nchini Kenya na mwanachama wa Chama cha Jubilee (JP). Mwaka 2017 alichaguliwa kama mwakilishi wa wanawake katika Bunge la Taifa la Kenya kwa kushinda uchaguzi katika kaunti ya Marsabit.[1]

Marejeo hariri

  1. http://www.parliament.go.ke/the-national-assembly/mps [Wabunge wa Taifa Kenya, tovuti la Bunge la Kenya, iliangaliwa Machi 4, 2022]
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Safia Sheikh Adan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.