Ziwa Saimaa

(Elekezwa kutoka Saimaa)

Saimaa ni ziwa kubwa zaidi nchini Ufini. Linaenea katika km2 4380 za maji. Mto Vuoksi unapita katika Saimaa. Miji iliyo karibu na fukwe za Saimaa ni Lappeenranta, Joensuu, Mikkeli, Imatra, Savonlinna na Varkaus.

Ziwa Saimaa
Mahali Ufini kusini
Anwani ya kijiografia Coordinates: 61°15′N 028°15′E / 61.250°N 28.250°E / 61.250; 28.250
Mito ya kutoka Vuoksi
Nchi za beseni Ufini
Eneo la maji km2 4400
Kina cha wastani mita 17
Kina kikubwa m 82
Mjao km3 36
Urefu wa pwani (km) km 13700
Kimo cha uso wa maji juu ya UB m 76
Visiwa 3507
Miji mikubwa ufukoni Lappeenranta, Imatra, Savonlinna, Mikkeli, Joensuu
1 Shore urefu is not a well-defined measure.

Tovuti nyingine hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Ufini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ziwa Saimaa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.