Salvador ni jina la mji mkuu wa jimbo la Bahia katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao milioni 3 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 8 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji wa Salvador, BahiaSalvador

Bendera
Majiranukta: 12°58′29″S 38°28′36″W / 12.97472°S 38.47667°W / -12.97472; -38.47667
Nchi Brazil
Kanda Northeast
Jimbo Bahia
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 2,998,096
Tovuti:  www.salvador.ba.gov.br

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Salvador, Bahia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.