Salvatore Quasimodo

Tuzo Nobel.png

Salvatore Quasimodo (Modica, 20 Agosti 1901Napoli, 14 Juni 1968) alikuwa mwandishi maarufu kutoka nchi ya Italia. Hasa aliandika mashairi. Pia alitafsiri kwa Kiitalia tamthiliya na mashairi kutoka lugha nyingine.

Salvatore Quasimodo

Mwaka 1959 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Salvatore Quasimodo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.