Samuel Beckett

Samuel Barclay Beckett (13 Aprili 190622 Desemba 1989) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ireland. Aliandika kwa Kiingereza na Kifaransa. Anajulikana hasa kwa tamthiliya yake "Kumngojea Godot" (kwa Kifaransa En attendant Godot) iliyotolewa mwaka wa 1952. Mwaka wa 1969 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Samuel Beckett
Tuzo Nobel.png
Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Samuel Beckett kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.