San Antonio Spurs

San Antonio Spurs ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini San Antonio, Texas. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Tim Duncan.

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu San Antonio Spurs kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

ViwanjaEdit

 
Alamodome, Kiwanja cha nyumbani cha Spurs kutoka Mwaka 1993 hadi 2002
 
AT&T Center kiwanja cha nyumbani cha Spurs, usiku