Sanaa Lathan
Sanaa McCoy Lathan (Amezaliwa tar. 19 Septemba 1971) ni mwigizaji mteule wa tuzo ya Tony (Tony Award) kama mwigizaji bora filamu wa kike Marekani.
Sanaa Lathan | |
---|---|
| |
Jina la kuzaliwa | Sanaa McCoy Lathan |
Alizaliwa | 19 Septemba 1971 Marekani |
Kazi yake | Mwigizaji wa filamu. |
Miaka ya kazi | 1996- hadi leo |
Filamu alizoigiza Sanaa
haririMwaka | Jina la Filamu | Jina alilotumia | Maelezo mengine |
2006 | Nip/Tuck | Michelle Landau | recurring role |
2006 | Something New | Kenya McQueen | |
2004 | Alien vs. Predator | Alexa Woods | |
2003 | Out of Time | Ann Merai Harrison | |
2002 | Brown Sugar | Sidney 'Sid' Shaw | |
2000 | Disappearing Acts | Zora Banks | |
2000 | Love & Basketball | Monica Wright | |
1999 | The Best Man | Robin | |
1999 | The Wood | Alicia | |
1998 | Blade | Vanessa Brooks |
Viungo vya Nje
hariri- Sanaa Lathan at the Internet Movie Database
- Sanaa Lathan Ilihifadhiwa 3 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine. katika AskMen.com
- Sanaa Lathan interview
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sanaa Lathan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |