Sandra A. Mushi


Sandra Aikaruwa Mushi (amezaliwa 28 Februari 1974) ni mwanamke Mtanzania ambaye ni msanifu wa mambo ya ndani ya majengo na mwanzilishi wa kampuni ya Creative Studios Limited mjini Dar es Salaam, Tanzania.[1] [2].

Sandra A. Mushi
Alizaliwa 28 Februari 1974
Nchi Tanzania
Kazi yake Msanifu

Pia ni mwanachama wa International Interior Design Association na The African Institue Of Interior Design Professions[3] na mwandishi wa hadithi[4][5] na mashairi[6] yanayolenga matatizo na changamoto wanazopata wanawake na watoto.

Hadithi zakeEdit

 1. A Choice
 2. A Leaking Roof
 3. Bride Price
 4. Family Business
 5. Her Eyes
 6. Her Mother
 7. Imbeciles
 8. Jasmine
 9. Kokushiba
 10. Lunch
 11. Miscounted Dreams
 12. Oil On Water
 13. Shattered Dreams[7]
 14. Stupid Women
 15. Stains on My Khanga (Mkusanyiko wa hadithi fupi), Hadithi Media, Centurion (Gauteng, South Africa) 2014, ISBN13 9780620584753[8]

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sandra A. Mushi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.