Sapporo, Hokkaido
(Elekezwa kutoka Sapporo)
Sapporo (札幌市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Hokkaido. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao milioni 1.9 wanaoishi katika mji huu.
Sapporo | |||
| |||
Nchi | Japani | ||
---|---|---|---|
Kanda | Hokkaido | ||
Mkoa | Hokkaido | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 1,884,939 | ||
Tovuti: www.city.sapporo.jp/city/ |
Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sapporo, Hokkaido kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |