Sapporo (札幌市) ndiyo mji mkuu katika mkoa wa Hokkaido. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao milioni 1.9 wanaoishi katika mji huu.

Mji wa Sapporo








Sapporo
Faili:Flag of .png
Bendera
Nchi Japani
Kanda Hokkaido
Mkoa Hokkaido
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,884,939
Tovuti:  www.city.sapporo.jp/city/
Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sapporo, Hokkaido kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.