Sauti ya Gharama ni wimbo wa Dknob akimshirikisha Mez B.. Wimbo unatoka katika albamu ya kwanza ya Dknob ya Elimu Mitaani.com, iliyotoka mnamo mwaka wa 2005. Wimbo ulitengenezwa na mtayarishaji mashuhuri wa muziki wa hip hop P Funk.

“Sauti ya Gharama”
Single ya Dknob
kutoka katika albamu ya Elimu Mitaani.com
Imetolewa 2004
Muundo CD
Imerekodiwa 2004
Aina Hip hop
Studio Bongo Records
Mtunzi Innocent Sahani
Mtayarishaji P Funk
Mwenendo wa single za Dknob
"Elimu Mitaani.com"
(2003)
"Sauti ya Gharama"
2004
"Juhudi za Msela"
(2005)

Viungo vya nje

hariri


  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sauti ya Gharama kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.