Sayansi bandia (kwa Kiingereza: Pseudoscience) ni imani inayojidai kuwa sayansi lakini si sayansi kwa sababu haitumii njia za kisayansi.

Unajimu ni mfano wa sayansi bandia.

Marejeo

hariri
  • Kiputiputi, O. M. (2001). Kufundisha sayansi kwa Kiswahili. Mdee, JS and Mwansoko, HJM, Makala ya kongamano la kimataifa KISWAHILI 2000 Proceedings. Dar-es-Salaam: Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili
  Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.