Sbuyiselwe Angela Buthelezi
Mwanasiasa wa Afrika Kusini
content://com.android.chrome.FileProvider/images/screenshot/17009105139121846186107.jpg
Sbuyiselwe Angela Buthelezi (alizaliwa 1967) ni mwanamke wa Afrika Kusini ambaye ni mjumbe wa bunge la Afrika Kusini wa chama Cha Inkatha Freedom Party. [1]
Sbuyiselwe Angela Buthelezi | |
Nchi | Afrika ya Kusini |
---|---|
Kazi yake | Mjumbe wa bunge |
Maisha binafsi hariri
Baba yake ni Mangosuthu Buthelezi.
Marejeo hariri
- ↑ Ms Sbuyiselwe Angela Buthelezi - Parliament of South Africa". www.parliament.gov.za. Retrieved 1 April 2021.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sbuyiselwe Angela Buthelezi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |