Sebastian Vizcaino

(Elekezwa kutoka Sebastián Vizcaíno)
Makala hii kuhusu "Sebastian Vizcaino" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.

Sebastián Vizcaíno (15481624) alikuwa mwanajeshi na mwanasiasa kutoka nchi ya Hispania. Tangu 1596 alifanya kazi hasa maeneo ya Kalifornia na Mexiko. Kazi zake pia zilimsafirisha nchi za Ufilipino (1586-1589) na Ujapani (1611-1613). Alifariki mjini Mexico City.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sebastian Vizcaino kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.