Seffa (kwa Kiarabu: السفة) ni chakula cha ki Maghrebi[1] kinachoandaliwa kwa siagi, mlozi na mdalasini.[2] Pia chakula hiki kinaweza kuandaliwa kwa nyama [3] na tambi za kukaanga au wali. Chakula hicho huliwa baada ya mlo, mara nyingi katika sherehe za harusi na mikusanyiko ya kifamilia.

Seffa.

Marejeo

hariri