Sega (Misri ya Juu)

Sega au Shai-Sega ulikuwa ni mji wa kale wa huko nchini misri. Ulitumika kama sehemu ya makaburi ya watawala wa kale.

Eneo hariri

Eneo lake limetokana na sehemu ijulikanayo kama Ankhtifi lakini halijawahi kutajwa kwenye maeneo ya kale au kwenye historia ya watu wa misri.

Maerejeo hariri