Selena, wake jina la kuzaliwa Selena Quintanilla (amezaliwa tar. 16 Aprili 1971, mjini Lake Jackson. alikufa, 31 Machi 1995, mjini Corpus Christi, Texas) ni mwimbaji wa muziki aina ya Tejanopop. Alikuwa mara nyingi huitwa "Malkia wa Tejano muziki".

Selena
Selena
Selena
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Selena Quintanilla-Perez
Amezaliwa 16 Aprili 1971 (1971-04-16) (umri 50)
Lake Jackson, Texas
Asili yake US
Aina ya muziki Pop, Latin pop, R&B
Kazi yake Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwigizaji, mwanamuziki, mtayarishaji wa rekodi
Ala Sauti
Miaka ya kazi 1984-1995
Studio EMI Records, EMI Latin
Tovuti Q-Productions

DiskografiaEdit

Makala kuu ya: Diskografia ya Selena

Studio Albamu kwa pre-EMIEdit

 • 1984: Mis Primeras Grabaciones
 • 1985: The New Girl in Town
 • 1986: Alpha
 • 1987: Munequito de Trapo
 • 1987: And the Winner Is...
 • 1988: Preciosa
 • 1988: Dulce Amor

Studio Albamu kwa EMI LatinEdit

 • 1989: Selena
 • 1990: Ven Conmigo
 • 1992: Entre a Mi Mundo
 • 1993: Selena Live!
 • 1994: Amor Prohibido
 • 1995: Dreaming of You

Viungo vya NjeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Selena kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.