Senteni Masango
Malkia wa Eswatini
Senteni Masango (Julai 1981 - 6 Aprili 2018) alikuwa Inkhosikati wa nane (mke wa mfalme) na mke wa Mswati III wa Eswatini.
Maisha yake
haririMasango aliteuliwa kuwa mke mpya kwa Mswati III wakati wa sherehe ya Uhmlanga ya mwaka 1999. Walioana mwaka 2000.[1] Alijaliwa watoto wawili, Princess Sentelweyinkhosi na Princess Sibusezweni.
Masango alikuwa mchoraji. Aliuza kazi zake katika mnada ili kuchangisha fedha kwa mashirika ya hisani ya ndani nchini Eswatini.[2]
Marejeo
hariri- ↑ "Married at 18, stayed alone: King Mswati's eighth wife allegedly commits suicide : Evewoman – The Standard". Standardmedia.co.ke. Iliwekwa mnamo 18 Machi 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Who are the Queens of Swaziland?". Thisisafrica.me. 28 Agosti 2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-13. Iliwekwa mnamo 18 Machi 2019.
{{cite web}}
: Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Senteni Masango kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |