Sepik (mto)

Sepik ni mto mrefu kabisa nchini Papua Guinea Mpya. Urefu wake ni kilomita 1126. Unaelekea Magharibi kuanzia chanzo chake katika milima ya Victor Emanuel hadi Bahari ya Bismarck. Wakati wa mvua, mto wa Sepik huunganika na mto wa Ramu kwa mafuriko.

Sciences de la terre.svg Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.