Serafino wa Montegranaro

Serafino wa Montegranaro (154012 Oktoba 1604), alikuwa bradha wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini kutoka Italia ya Kati.

Mt. Serafino.

Fukara kweli, aling'aa kwa unyenyekevu na moyo wa ibada[1].

Mtawa huyo asiye na vipawa vingi kiutu, bali mwenye karama za ajabu, anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu tangu alipotangazwa na Papa Klementi XIII tarehe 16 Julai 1767.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 12 Oktoba[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.