Serikali ya muungano

Serikali ya muungano ni serikali inayoundwa na nchi mbili au zaidi ambapo nchi hizo huwakilishwa kimataifa kama nchi moja.

Mfano mmojawapo ni serikali ya Tanzania ambayo ni serikali ya Jamhuri ya Muungano; kielelezo chake ni serikali ya Ufalme wa Muungano wa Britania na Ireland Kaskazini.

WikiLettreMini.svg Makala hii kuhusu "Serikali ya muungano" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.