Setlutlu (au Masekeletu; alifariki karne ya 19) alikuwa mke wa Sebetwane, chifu wa Wakololo. Ndugu wa mume alikuwa Mfalme Mbololo.

Wasifu

hariri

Hapo awali Sebetwane alimtunuku Setlutlu Lechae kwa mmoja wa makamanda wake vijana kuhudumu kama mke wake. Baadaye alimuoa mwenyewe wakapata mtoto wa kiume, Sekeletu, ambaye baadaye alikuja kuwa mtawala.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Setlutlu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.