Sextus Afranius Burrus

mkuu wa Walinzi wa Kirumi Praetorian (AD 1-62)

Sextus Afranius Burrus (Vasio, Gallia Narbonensis, 1 BK huko [1] - 62 BK) alikuwa mkuu wa Walinzi wa Praetoria na, pamoja na Seneca Mdogo, mshauri wa mfalme wa Roma, Nero, jambo ambalo lilimfanya awe mtu mwenye nguvu sana katika miaka ya mwanzoni ya utawala wa Nero.[2]

Marejeo

hariri
  1. Kigezo:CIL = ILS 1321. English translation Robert K. Sherk (1988). The Roman Empire: Augustus to Hadrian. Cambridge University Press. uk. 99. ISBN 978-0-521-33887-5.
  2. Albino Garzetti (1974). From Tiberius to the Antonines: A History of the Roman Empire AD 14-192. Routledge. ku. 611f. ISBN 978-1-317-69844-9.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sextus Afranius Burrus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.