Shark chutney
Shark chutney ni chakula kinachoandaliwa kutokea visiwa vya ushelisheli. Huwa kina kuwa na takribani gram 900 za papa aliechemshwa, kusagwa na kuchanganywa na sharubati ya bilimbi na limao. Alafu huchanganywa na vitunguu, pilipili, chumvi, binzari. Vitunguu vinakaangwa na kupikwa kwenye mafuta.[1]
Marejeo
hariri- ↑ [1] Carpin, Sarah, Seychelles, Odyssey Guides, p.77, 1998, The Guidebook Company Limited, Retrieved on June 4, 2008