Uwanja wa michezo wa Sharks

(Elekezwa kutoka Sharks Stadium)

Uwanja wa michezo wa Shark una matumizi mengi katika jimbo la Port Harcourt nchini Nigeria. Sehemu ya uwanja wa Alfred Diete-Spiff katika Jimbo la Rivers hutumiwa zaidi kwa mpira wa miguu na ni uwanja wa nyumbani timu ya Shark F.C.. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 5,000.

Uwanja wa michezo wa Sharks

Viungo vya Njee hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Sharks kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.