Shenna Bellows
Shenna Lee Bellows (alizaliwa 23 Machi 1975) ni mwanasiasa wa Marekani na mkurugenzi mtendaji wa shirika lisilo la kiserikali. Mnamo 2 Desemba 2020, Bunge la Maine lilimchagua kuwa Katibu Mkuu wa 50 wa Jimbo la Maine.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "These Maine lawmakers will control 2019's biggest State House debates", Bangor Daily News, December 27, 2018.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shenna Bellows kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |