Shetani wa Tasmania

Shetani wa Tasmania
Shetani wa Tasmania (Sarcophilus harrisii)
Shetani wa Tasmania (Sarcophilus harrisii)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Ngeli ya chini: Marsupialia (Wanyama wanaobeba watoto wao ndani ya pochi ya ngozi))
Oda: Dasyuromorphia (Wanyama kama kwolu)
Familia: Dasyuridae (Wanyama walio na mnasaba na kwolu)
Nusufamilia: Dasyurinae (Wanyama wanaofanana na kwolu)
Jenasi: Sarcophilus
F.G.Cuvier
Spishi: S. harrisii
(Boitard, 1841)
Ngazi za chini

Nususpishi 2:

Msambazo wa shetani wa Tasmania
Msambazo wa shetani wa Tasmania

Shetani wa Tasmania (kutoka Kiing.: Tasmanian devil, Kisayansi: Sarcophilus harrisii) ni mnyama wa Marsupialia wa Tasmania mwenye manyoya meusi ambaye anapatikana katika maeneo ya porini ya kisiwa cha Australia kwenye makao ya Tasmania ikiwemo kisiwa kidogo cha Maria ambapo kuna mpango wa utunzaji wa wanyama wasio na magonjwa.

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shetani wa Tasmania kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu "Shetani wa Tasmania" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili Tasmanian devil kutoka lugha ya Kiingereza. Neno (au maneno) la jaribio ni shetani wa Tasmania.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.