Shigekazu Ōmori
Shigekazu Ōmori (大森 盛一, Ōmori Shigekazu; alizaliwa 9 Julai 1972) ni mwanariadha mstaafu nchini Japani ambaye alibobea katika mbio za mita 400.[1]
Alimaliza wa tano katika mbio za mita 4 × 400 za kupokezana vijiti katia Michezo ya Olimpiki mwaka 1996, pamoja na wachezaji wenzake Shunji Karube, Koji Ito na Jun Osakada. Pia alishiriki katika mashindano ya ndani ya dunia mwaka 1993 na 1997 na mashindano ya dunia mwaka 1993 na 1997 bila kufika fainali.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shigekazu Ōmori kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |