Shinichiro Tomonaga
Shinichiro Tomonaga (31 Machi 1906 – 8 Julai 1979) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Japani. Hasa alichunguza nguvu za umeme na nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1965, pamoja na Richard Feynman na Julian Schwinger alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shinichiro Tomonaga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |