Shirika la Posta Duniani

Shirika la Posta Duniani (kwa Kiingereza: Universal Postal Union), lililoanzishwa na Mkataba wa Bern mwaka 1874, ni miongoni mwa mawakala wa Umoja wa Mataifa unaohusika na sera za posta kati ya mataifa wanachama na dunia nzima.

George Barlosius,muanzilishi wa shirika la posta

Shirika hilo linajumuisha bodi mbalimbali kama mkutano, Baraza la Utawala, Baraza la Kazi la Posta, na Ofisi za Kimataifa.[1]

Marejeo

hariri
  1. "The UPU". Universal Postal Union website. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-03-22. Iliwekwa mnamo 12 Desemba 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)