Shirikisho la Skauti Zimbabwe
Mwanachama wa Shirika la Dunia la harakati za skauti
(Elekezwa kutoka Shirikisho la Chama Skauti ya Zimbabwe)
Chama cha Skauti cha Zimbabwe (Kiingereza The Scout Association of Zimbabwe) ni mwanachama wa Chama cha Skauti Duniani
Kuanzishwa Kwake hariri
Shirikisho hili lilianzishwa wakati wa kipindi cha vita vya pili vya Mataebele kipindi ambacho Baden Powell ambae baadae alikuja kuwa muanzilishi wa Skauti alipokutana na kuanzisha urafiki na Frederick Russell Burnham .[1]
Marejeo hariri
- ↑ Burnham, Frederick Russell (1926). Scouting on Two Continents. Doubleday, Page & company. ku. 2; Chapters 3 & 4. OCLC 407686.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |