Shirikisho la vyombo vya habari

Shirikisho la vyombo vya habari inaelezea makampuni yanayomiliki idadi kubwa ya makampuni katika nyanja mbalimbali za vyombo vya habari kama vile televisheni, redio, uchapishaji, filamu, na hata Intaneti. Pia hutajwa kama asasi ya vyombo vya habari au kundi la vyombo vya habari.

Na kwa mwaka wa 2008, The Walt Disney Company imekuwa moja kati ya shirikisho la vyombo vya habari lililo kubwa zaidi duniani, ikiwa ni pamoja na News Corporation, Viacom na Time Warner.[1][2].

TanbihiEdit

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-09-16. Iliwekwa mnamo 2010-04-10.
  2. News Corporation - Annual Report 2007. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-06-29. Iliwekwa mnamo 2010-04-10.