Shirley Ann Grau (amezaliwa 28 Julai 1929) ni mwandishi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1965, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Keepers of the House.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shirley Ann Grau kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.