Shirley Chisholm

mwanamke wa kwanza mweusi aliyechaguliwa katika Bunge la Marekani (1924-2005)

Shirley Anita Chisholm ; (Novemba 30, 1924 - 1 Januari 2005) alikuwa mwanasiasa, mwalimu na mwandishi wa nchini Marekani. [1] Mnamo mwaka 1968, alikua mwanamke wa kwanza mweusi kuchaguliwa katika Bunge la Marekani . [2]

Shirley Chisholm

Marejeo hariri

  1. PBS P.O.V. documentary. Chisholm '72: Unbought & Unbossed.
  2. Freeman, Jo (February 2005). "Shirley Chisholm's 1972 Presidential Campaign". University of Illinois at Chicago Women's History Project. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo November 11, 2014.  Check date values in: |date=, |archivedate= (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shirley Chisholm kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.