Shukuru Kawambwa
Dr. Shukuru Jumanne Kawambwa (amezaliwa 15 Desemba 1957) ni Mbunge katika Bunge la Tanzania.[1]

Aliwahi kuwa waziri.
Tanbihi Edit
Chanzo Edit
- Tovuti ya Bunge la Tanzania
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |