Shule ya Wasichana ya Ngara

Ngara Girls' High School ni shule ya Upili ya Wasichana ya Bweni iliyopo katika mjii mkuu wa Nairobi nchini Kenya

Historia

hariri

Shule ya wasichana ya Ngara ilifunguliwa Januari mwaka 1957 ikijumuisha pia wanafunzi wa jinsia zote wenye asili ya Kihindi. Mwaka 1962 shule hii iliondoa wanafunzi wa kiume na kuwa shule ya wanafunzi wa kike peke yao.

Mwak 1964 shule ilianza kufundisha wanafunzi wa rangi zote mara baada ya ubaguzi wa rangi kupigwa marufuku.

Mwaka 2004,shule hii ilianza kutoa huduma za bweni kwa wanafunzi wake na mwaka 1996 shule ilipata msaaada kutoka shirika la Community Development Trust Fund (CDTF) .[1]

Viungo vya Nje

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Home Archived 29 Mei 2014 at the Wayback Machine." (). Ngara Girls' High School. Retrieved May 29, 2014.
  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shule ya Wasichana ya Ngara kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.