Shule yasekondari Goba
Kuna pendekezo la kufuta makala hii. Ona majadiliano kwenye ukurasa wa majadiliano na hapa. Unaweza kuondoa kigezo hiki baada ya mapatano kwenye ukurasa wa "Wikipedia:Makala kwa ufutaji" (tazama juu). |
Shule ya Sekondari ya Goba ni shule ya sekondari ya jamii katika wadi ya Goba, Wilaya ya Ubungo, Mkoa wa Dar es salaam, Tanzania.[1] Iko katika barabara ya Kinzudi karibu kilomita 7 kutoka barabara kuu ya Bagamoyo huko Tangibovu.