Sid Ahmed Belkedrouci

Sid Ahmed Belkedrouci (kwa Kiarabu: سيد أحمد بلقدروسي; alizaliwa 20 Desemba 1950 huko Oujda, Morocco) ni meneja wa soka na mchezaji wa zamani wa Algeria.

Sid Ahmed Belkedrouci

Heshima hariri

Binafsi

  • Mfungaji bora wa michuano ya Algeria 1975 akiwa na Klabu ya MC Oran na mwenye mabao 18

Klabu

  • Mshindi wa Taifa wa Ligi Ya Algeria Championnat mara moja mwaka 1971 akiwa na klabu ya MC Oran
  • Mshindi wa Kombe la Algeria mara moja mwaka 1975 akiwa na klabu ya MC Oran

Kitaifa

  • Mshindi Wa Medali ya dhahabu katika Michezo yote ya Africa mwaka 1978.

Viungo Vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sid Ahmed Belkedrouci kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.