Siku ya Kimataifa ya Lugha za Ishara
Siku ya Kimataifa ya Lugha za Ishara (IDSL) huadhimishwa duniani kote tarehe 23 Septemba kila mwaka pamoja na Wiki ya Kimataifa ya Viziwi.
Siku ya Kimataifa ya Lugha za Ishara | |
---|---|
|
Tarehe 23 Septemba ilichaguliwa kwa sababu ni siku ambayo Shirikisho la Dunia la Viziwi lilianzishwa mnamo mwaka 1951.[1][2]
Mada
hariri- 2018: Kwa Lugha za Ishara, Kila Mtu Anakubalika![3]
- 2019: Haki za Lugha za Ishara kwa Wote![4]
- 2020: Lugha za Ishara ni za Kila Mtu![5]
- 2021: Tunasisitiza Haki za Binadamu kwa Lugha za Ishara![6]
- 2022: Lugha za Ishara Zinatushirikisha!
- 2023: Ulimwengu Ambapo Watu Wenye Uziwi Kote Duniani Wanaweza Kutumia Ishara Mahali Popote![7]
Marejeo
hariri- ↑ "United Nations declared 23 September as International Day of Sign Languages - WFD". WFD. 19 Desemba 2017. Iliwekwa mnamo 2017-12-24.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Third Committee Approves 16 Drafts with Friction Exposed in Contentious Votes on Glorification of Nazism, Cultural Diversity, Right to Development ! Meetings Coverage and Press Releases". UN. Iliwekwa mnamo 2017-12-24.
- ↑ "International Day of Sign Languages and International Week of the Deaf 2018 - WFD". WFD. 16 Machi 2018. Iliwekwa mnamo 2018-07-17.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Announcement: Sub-themes of the International Week of the Deaf - WFD". WFD. 15 Machi 2019. Iliwekwa mnamo 2019-09-24.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Announcement". WFD. Iliwekwa mnamo 2021-09-22.
- ↑ "Announcement". WFD. Iliwekwa mnamo 2021-09-22.
- ↑ "International Week of Deaf People 2023". WFD (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-09-19.