Simon van der Meer

Simon van der Meer (amezaliwa 24 Novemba 1925) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uholanzi. Baadhi ya utafiti mwingine alichunguza usumaku wa sehemu za atomu. Mwaka wa 1984, pamoja na Carlo Rubbia alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Simon Van der Meer
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Simon van der Meer kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.