Simone Ponte Ferraz (alizaliwa Machi 1990) ni mwanariadha wa Brazil aliyebobea kwenye mita 3000 ya kuruka vikwazo.[1] Alishinda medali mbili kwenye michuano ya  Amerika kusini. Alishindana kwenye olimpiki ya majira ya joto 2020.[2]

Ubora wake kwenye tukio ni sekunde 9:45.15 huko Guayaquil mwaka 2021.

Ubora wake

hariri

Nje                                                                        

·         Mita 800  – dakika 2:16.42 (Itajaí 2013)

·        Mita 1500  – dakika 4:27.19 (Jaraguá 2018)

·        Mita 3000 za kuruka vikwazo – dakika 9:45.15 (Guayaquil 2021)

·        Mita 5000 – dakika 16:03.34 (Timbó 2021)

·        Mita 10,000  – dakika 35:20.95 (Jaraguá 2019)

·        Kilomita 10– dakika 36:37 (Porto Alegre 2017)

·        Nusu marathoni –saa 1:20:36 (Rio de Janeiro 2019)

·        Marathoni – saa 2:38:10 (Buenos Aires 2019)

Marejeo

hariri
  1. "de Vos, Niels, (born 27 March 1967), Chief Executive Officer: UK Athletics, since 2007; 2017 World Athletics Championships, since 2011", Who's Who, Oxford University Press, 2007-12-01, iliwekwa mnamo 2021-10-08
  2. Polak-Rottmann, Sebastian (2020-04-23), "Security for the Tokyo Olympics", Japan Through the Lens of the Tokyo Olympics, Routledge, ku. 130–135, iliwekwa mnamo 2021-10-08
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Simone Ferraz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.