Sing Bing Kang
Mwanasayansi wa kompyuta wa Marekani
Sing Bing Kang ni mtafiti mkuu wa Microsoft[1]. Huko, anaandika makala zinazohusiana na michoro ya kompyuta ambayo inachapishwa na Jarida la Kimataifa la Kompyuta na mengine mengi.
Sing Bing Kang | |
Kazi yake | Mtafiti wa kompyuta |
---|
Ni mhariri mwenza wa vitabu viwili; Maono ya Panoramiki (Panoramic Vision):sensori, nadharia, na Matumizi ambayo alifanya na R. Benosman, na mada zinazoibuka katika dira ya kompyuta huku G. Medioni akiwa mhariri mkuu. Kando na kuhariri na kuchapisha, pia alikuwa mwandishi mwenza wa vitabu viwili; Image-Based Rendering na Image-Based Modeling of Plants and Trees.[2]
Marejeo
hariri- ↑ "Microsoft researchers and engineers working around the world". Microsoft Research (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-08-11.
- ↑ "Microsoft researchers and engineers working around the world". Microsoft Research (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-08-11.