Siro wa Karthago alikuwa askofu wa mji huo (leo nchini Tunisia) aliyeuawa kwa ajili ya imani yake wakati wa dhuluma ya Dola la Roma.

Augustino wa Hippo alitoa hotuba moja juu yake.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Julai[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.