Sisini wa Kuziko (alifariki Kuziko, leo nchini Uturuki, 303 hivi) alikuwa askofu aliyeteswa kikatili na hatimaye akachomwa kwa upanga katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano kwa sababu ya imani yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Novemba[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.