Sitaha ni uso wa juu wa meli. Ni dari juu ya bodi ya meli.

Sitaha ya meli ya karne ya 19

Sitaha ya juu ni mahali pa kukalia au kuwekea vitu.

Meli kubwa huwa na sitaha mbalimbali chini ya sitaha ya juu. Kwa maana hii sitaha ni ghorofa ndani ya meli.