Sitini na tisa (au tisa na sitini) ni namba inayoandikwa 69 kwa tarakimu za kawaida na LXIX kwa zile za Kirumi.

Ni namba asilia inayofuata 68 na kutangulia 70.

Vigawo vyake vya namba tasa ni: 3 x 23.

Matumizi hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya hisabati bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sitini na tisa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.